NA WANDERI KAMAU KWA miaka kadhaa sasa, kumekuwa na pengo kubwa katika tasnia ya muziki wa Injili nchini. Hili linafuatia hatua ya baadhi ya wanamuziki maarufu walioidhibiti tasnia hiyo kuhamia katika “miziki ya kidunia”, hivyo kuacha pengo kwenye utunzi wa nyimbo za injili. Tangu 2010, baadhi ya wanamuziki waliosifika  kwa kuishikilia tasnia hiyo ni Willy […]