NA FRIDAH OKACHI MSOMI Cebbie Koks Nyasego, ambaye ni dadake mwanamuziki Esther Akoth almaarufu Akothee, amethibitisha kuwepo kwa tofauti za kifamilia, lakini akisisitiza kuwa bado mapenzi kwa dadake yapo na hakuna anayeweza kubadilisha. Kwenye mahojiano na Lynn Ngugi, Cebbie alishangazwa jinsi ambavyo watu mitandaoni hutuma jumbe za kumlaumu bila kujua kinachoendelea kwenye familia. “Hili ni […]