NA FRIDAH OKACHI MASHABIKI kwenye ukurasa wa mwanamuziki Esther Akoth almaarufu Akothee wamempongeza baada ya kutangaza atakuwa anaelekea nchini Uswizi mwezi ujao kuwatumbuiza mashabiki wake. Inafahamika kuwa kwenye taifa hilo (Uswizi) ndipo alikuwa amempata mume wa tano Dennis ‘Omosh’ Schweizer na kufunga pingu za maisha naye Aprili, 2023. Mwanamuziki huyo kwenye mitandao yake ya kijamii […]