Kwa mara nyingine tena, Musa Keys kuinogesha Dar usiku wa leo…

Milard Ayo
Published: Mar 29, 2024 21:19:53 EAT   |  Entertainment

Ni headlines za msanii na Dj kutokea Afrika Kusini, Musa Keys ambae usiku wa kuamkia 30 March , 2024 anatarajiwa kuwaimbia watanzania wanaoupenda muziki wao unaotikisa kwasasa unaofahamika kama Amapiano. Musa Keys anatarajiwa kutoa burudani katika Chimbo liliitwalo Elements BAR iliyopo Masaki Dar es Salaam, Miongoni mwa nyimbo zilizompa headlines ni Collabo aliyofanya na Mtanzania Loui […]

The post Kwa mara nyingine tena, Musa Keys kuinogesha Dar usiku wa leo… first appeared on Millard Ayo.

Ni headlines za msanii na Dj kutokea Afrika Kusini, Musa Keys ambae usiku wa kuamkia 30 March , 2024 anatarajiwa kuwaimbia watanzania wanaoupenda muziki wao unaotikisa kwasasa unaofahamika kama Amapiano.

Musa Keys anatarajiwa kutoa burudani katika Chimbo liliitwalo Elements BAR iliyopo Masaki Dar es Salaam, Miongoni mwa nyimbo zilizompa headlines ni Collabo aliyofanya na Mtanzania Loui kupitia wimbo wao uitwao

 

 

 

The post Kwa mara nyingine tena, Musa Keys kuinogesha Dar usiku wa leo… first appeared on Millard Ayo.