Habari Leo News

Auziwa vichuma Sh Mil 8.5 akiambiwa madini

MOROGORO; POLISI mkoani Morogoro, imewatia mbaroni watu wanne kwa tuhuma kumtapeli kiasi cha Sh milioni 8.5 mfanyabiashara wa Kijiji cha Turiani, wilayani Mvomero, mkoani Morogoro baada ya kumuuzia vipande vya...

15 minutes ago


Taifa Leo General

Agizo Betika ilipe Sh500,000 kwa aliyecheza na Sh10

NA JOSEPH OPENDA BETIKA imepoteza rufaa iliyowasilisha mahakamani kupinga kumlipa mcheza kamari David Juma Sh500,000 baada ya ubashiri wake wa mechi nane kutimia sawa. Bw Juma alitumia Sh10 kubashiri mechi...

18 minutes ago


Habari Leo News

Wawili familia moja wafa kwa kutumbukia kisimani

MOROGORO; WATOTO wawili wa familia moja wamefariki dunia baada ya kutumbukia na kuzama kwenye Kisima cha maji kilichokuwa karibu na makazi yao kwenye Kijiji cha Lukonde, Kata ya Tomondo ,Wilaya...

40 minutes ago


Mwanaspoti Sports

Kipa Ihefu akubali yaishe, amsikilizia Maxime

ALIYEKUWA kipa namba moja wa Ihefu FC, Fikirini Bakari amekubali upinzani alioupata dhidi ya mwenzake kikosini, Khomein Aboubakari aliyesajiliwa dirisha dogo kutoka Geita Gold akisema analazimika sasa kuongeza juhudi binafsi...

45 minutes ago


Taifa Leo General

Waraibu wa Shisha wapata sababu ya kutabasamu

NA BRIAN OCHARO WARAIBU wa Shisha, watengenezaji na wauzaji wa tumbuku hiyo ya maji, wana sababu ya kutabasamu baada ya kubainika kuwa kanuni za kupiga marufuku matumizi na unywaji wa...

49 minutes ago


The Citizen General

Chinese economy makes steady progress and has bright future

China’s GDP exceeded RMB 126 trillion (US$17.7 trillion), growing by 5.2 percent, ranking the top among major economies in the world, contributing one-third of global growth and remaining the world’s...

51 minutes ago


Habari Leo News

Msama atekeleza agizo la Waziri Silaa

DAR ES SALAAM; MKurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama ametekeleza agizo la Waziri wa Ardhi, Jerry Silaa la kwenda kuonana na Kamishina wa Ardhi Kanda ya Dar es...

1 hour ago


Taifa Leo General

NMG yapeleka msaada kwa kituo cha watoto cha Mama Fatuma

NA SAMMY KIMATU WATOTO katika makao ya Mama Fatuma Goodwill Children’s Home katika mtaa wa Eastleigh Section 1, kaunti ndogo ya Kamukunji wana kila sababu ya kutabasamu baada ya Wakfu...

1 hour ago


Mwanaspoti Sports

Mcolombia ampa mzuka kocha Azam FC

KURUDI uwanjani kwa mshambuliaji Franklin Navarro (24) kumempa mzuka Kocha Mkuu wa Azam FC, Youssouf Dabo aliyekiri kumeongeza nguvu eneo hilo ambalo halikuwa na mtu baada ya kuondoka kwa Prince...

1 hour ago


Constitutional review divides Somalia top leaders

The initiated constitutional review has generated strong opposition from many top names.

1 hour ago


Load More...

Trending on YouTube

Thumbnail
Nandy ft G nako, Joh Makini, Rosa Ree, Khaligraph Jones, Moni & Stamina - DAH Remix (Official Video)
Thumbnail
Jux - Bado (Official Audio) [Visualizer]
Thumbnail
Harmonize - Side N***a (Official Music Video)
Thumbnail
Billnass feat Mbosso - Number One (Official Music Video)
Thumbnail
Ibraah Feat. Harmonize - Dharau (Official Lyrics Video)
Thumbnail
Jay Melody - Baridi (Official Video)
Thumbnail
TUNDA MAN -TUNAITAKA NUSU (Official video lyrics)
Thumbnail
Zuchu ft Dadiposlim - Zawadi (Official Music Video)
Thumbnail
Stamina Shorwebwenzi - Msanii Bora Wa Hip Hop (Official Video)
Thumbnail
CHAWA WA BASATA & ZUCHU - USWEGE MURDERER

Job Vacancies





Entertainment