Taifa Leo News

Waliouziwa mbolea feki waanza kulipwa fidia

BARNABAS BII Na KNA BODI ya Kitaifa ya Nafaka na Mazao (NCPB) imeanza kuwafidia wakulima waliouziwa mbolea feki. Mkurugenzi Mkuu wa NCPB, Joseph Kimote, alisema kwamba hatua hiyo inafuatia agizo...

8 minutes ago


Habari Leo General

Wakala wa ukadiriaji wakaa mstari wa mbele

Ukadiriaji huo unatumika kama mwanga wa uwazi, kusaidia wawekezaji kufanya uamuzi sahihi na kuhimiza kampuni kujitahidi kuboresha kila wakati. The post Wakala wa ukadiriaji wakaa mstari wa mbele first appeared...

13 minutes ago


Milard Ayo News

Rais Samia atoa nishani za miaka 60 ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania

Rais Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Mama Janeth Magufuli Nishani ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ambayo aliipokea kwa niaba ya Rais Mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Tano Hayati Dkt. John...

15 minutes ago


Milard Ayo Sports

LAFC yakamilisha mpango wa Giroud kwa uhamisho wa bure

Mshambulizi wa AC Milan Olivier Giroud ametia saini mkataba wa kujiunga na LAFC kuanzia katikati ya Julai kwa mkataba hadi Desemba 2025 kama mchezaji aliyeteuliwa, chanzo ESPN. Baada ya wiki...

22 minutes ago


Milard Ayo Sports

Tevez alazwa hospitalini kwa maumivu ya kifua, vipimo vya awali vyatolewa

Mchezaji wa zamani wa kimataifa wa Argentina Carlos Tevez amelazwa hospitalini baada ya kusumbuliwa na kifua. Tevez alipelekwa hospitalini huko Buenos Aires siku ya Jumanne na atasalia hapo hadi vipimo...

26 minutes ago


Milard Ayo News

Tupunguze matumizi ya pombe isiyozimuliwa ili kukabiliana na magonjwa yasiyoambukiza

Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amesema kuwa iwapo jamii itapunguza matumizi ya pombe isiyo zimuliwa yaliyokithiri itasaidia kukabiliana na kuepukana na magonjwa yasiyoambukiza. Waziri Ummy amesema hayo Aprili 23,...

33 minutes ago


Milard Ayo News

UNICEF watoa msaada wa vifaa vya kielimu kwa shule zilizoathiriwa na mafuriko

Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughukia Watoto (UNICEF) April 24, 2024 limekabidhi vifaa vya kielimu kwa kwa ajili ya Wanafunzi na Walimu wa Shule zilizoathiriwa na mafuriko yanayotokana na mvua...

43 minutes ago


Mwanaspoti Sports

Wachezaji wampa tuzo Ibrahim Bacca

BEKI wa Yanga, Ibarahim Abdullah 'Bacca' amepigiwa kura na baadhi ya wachezaji wa Ligi Kuu, kuona anastahili kunyakua tuzo ya beki bora kwa msimu huu wa 2023/24. Mwanaspoti limezungumza na...

44 minutes ago


Milard Ayo News

Kazi zitakazotekelezwa na wizara ya nishati kwa mwaka wa fedha 2024/25

# Wizara imepanga kukamilisha mradi wa kuzalisha umeme kwa kutumia  mradi wa Julius Nyerere (MW 2,115) ambapo kazi zilizopangwa kutekelezwa ni pamoja na  kukamilisha ujenzi wa jengo la mitambo (power...

47 minutes ago


Mwanaspoti Sports

Yanga yaivurugia JKT Queens

MCHEZO wa Ligi Kuu ya wanawake kati ya JKT Queens na Amani Queens umesogezwa mbele kutokana na muingiliano wa ratiba na mechi ya Yanga na JKT ambayo inapigwa leo kwenye...

48 minutes ago


Load More...

Trending on YouTube

Thumbnail
Lava Lava x Diamond Platnumz - Kibango (Official Audio)
Thumbnail
Harmonize - Na Nusu (Official Lyrics Video)
Thumbnail
Marioo - Hakuna Matata (Visualiser)
Thumbnail
Darassa feat Zuchu - Romeo (Visualiser)
Thumbnail
Bella Kombo ft. Evelyn Wanjiru & Neema Gospel Choir - Mungu Ni Mmoja (Official Video)
Thumbnail
Rayvanny - Hongera (Music Audio)
Thumbnail
Dulla Makabila - Furahi ( OFICIAL VIDEO)
Thumbnail
TitoM & Yuppe - Tshwala Bam [Ft. S.N.E & EeQue] (Official Music Video)
Thumbnail
Mocco Genius feat Alikiba - Mchuchu (Official Audio)
Thumbnail
D Voice - Zoba (Official Lyric Audio)

Job Vacancies





Entertainment