Taifa Leo General

Nilivyomjua Sajini Nyawira: Mwanajeshi huyo mpiga picha alikuwa kipenzi cha wanahabari

NA KALUME KAZUNGU “KALUME Kazungu, uko wapi? Bado dakika chache tuondoke wajua. Fanya hima.” Hayo mara nyingi ndiyo yaliyokuwa matamshi ya Sajini Roselyne Nyawira wakati akinihimiza kuharakisha kufika, iwe ni...

12 minutes ago


Milard Ayo General

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo April 20, 2024

Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam April 20, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.   The post Habari...

42 minutes ago


Mwanaspoti Sports

Diarra dhidi ya Lakred

WAKATI homa ya pambano la Ligi Kuu Bara kati ya vinara wa ligi, Yanga dhidi ya Simba likizidi kupanda kutakuwa na vita nyingine mpya kwenye eneo la makipa wa timu...

7 hours ago


Mwanaspoti Sports

Jumamosi yaibeba Yanga Kariakoo Dabi

MASHABIKI wa Yanga na Simba tayari viroho vimeanza kuwadunda, wakati wakiendelea kuhesabu siku kabla ya timu zao kushuka katika pambano la Ligi Kuu Bara litakalopigwa Jumamosi hii ya Aprili 20,...

7 hours ago


Mtanzania News

Hemed Abdulla: Tutaendelea kuulinda Muungano kwa gharama yoyote

Nora Damian na Esther Mnyika, Mtanzania Digital Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla amesema Watanzania wanatakiwa kulinda Muungano kwa gharama yeyote na kuuimarisha kwa faida ya kizazi...

8 hours ago


Taifa Leo News

Mmiliki wa kilabu, wafanyakazi wake wapatikana na hatua ya kuua mbunge wa zamani George Thuo

NA RICHARD MUNGUTI MMILIKI wa Porkies Club Paul Wainaina Boiyo na wafanyakazi wake watano wamepatikana na hatia ya kumuu aliyekuwa Mbunge wa Juja George Thuo miaka 11 iliyopita. Lakini punde...

9 hours ago


Mwanaspoti Sports

Azam FC yasajili beki kutoka Mali

AZAM FC imefikia makubaliano na Akademi ya Yeleen Olympique ya Mali kwa ajili ya kumnunua mchezaji wa kimataifa wa nchi hiyo, Yoro Mamadou Diaby. Mlinzi huyo wa kati ambaye alikuwa...

9 hours ago


Mwanaspoti Sports

Kalaba apata nafuu, aanza kuzungumza, kula

ALIYEKUWA nyota wa TP Mazembe na timu ya taifa ya Zambia, Rainfold Kalaba amerejewa na fahamu na sasa anaweza kuzungumza na kula. Akitoa taarifa hiyo leo Ijumaa, Ofisa Uhusiano wa...

9 hours ago


Mwanaspoti Sports

Mambo 3 yanaibeba Yanga SC

JUMAMOSI ya wiki hii, inapigwa Kariakoo Dabi kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Yanga itakuwa mwenyeji wa Simba ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu Bara. Kuanzia saa 11:00 jioni, ndiyo mchezo...

9 hours ago


Mwanaspoti Sports

Aprili inavyoibeba Simba Kariakoo Dabi

MASHABIKI wa Simba na Yanga tayari viroho vimeanza kuwadunda, wakati wakiendelea kuhesabu siku kabla ya timu zao kushuka katika pambano la Ligi Kuu Bara litakalopigwa Jumamosi hii ya Aprili 20,...

9 hours ago


Load More...

Trending on YouTube

Thumbnail
Marioo - Hakuna Matata (Visualiser)
Thumbnail
Harmonize - Na Nusu (Official Lyrics Video)
Thumbnail
Rayvanny - Hongera (Music Audio)
Thumbnail
Dulla Makabila - Furahi ( OFICIAL VIDEO)
Thumbnail
Darassa feat Zuchu - Romeo (Visualiser)
Thumbnail
Bella Kombo ft. Evelyn Wanjiru & Neema Gospel Choir - Mungu Ni Mmoja (Official Video)
Thumbnail
D Voice - Zoba (Official Lyric Audio)
Thumbnail
TitoM & Yuppe - Tshwala Bam [Ft. S.N.E & EeQue] (Official Music Video)
Thumbnail
Diamond Platnumz - Namleta (Official Audio)
Thumbnail
Chino Kidd Ft Daway - Binadamu (Official Lyrics Video)

Job Vacancies





Entertainment