Taifa Leo News

Mmiliki wa kilabu, wafanyakazi wake wapatikana na hatua ya kuua mbunge wa zamani George Thuo

NA RICHARD MUNGUTI MMILIKI wa Porkies Club Paul Wainaina Boiyo na wafanyakazi wake watano wamepatikana na hatia ya kumuu aliyekuwa Mbunge wa Juja George Thuo miaka 11 iliyopita. Lakini punde...

59 minutes ago


Taifa Leo General

Mamake demu wangu amenipa ombi la kushangaza

Shangazi, Mpenzi wangu ndiye mtoto wa pekee na mama yake hajaolewa. Juzi nilishangaa mama yake aliponipigia simu akisema ananipenda na kuniomba niachane na binti yake ili tuwe wapenzi. Nifanyeje? Ni...

1 hour ago


Taifa Leo General

Sajini Mkuu John Kinyua alikuwa akutane na familia akitoka ziara ya kikazi Bonde la Ufa

Na GEORGE MUNENE FAMILIA ya Sajini Mkuu John Kinyua Mureithi aliyeangamia baada ya helikopta ya kijeshi kuanguka Alhamisi, ameacha familia changa na alikuwa tegemeo la wazazi wake. Familia ilisema mwanajeshi...

2 hours ago


Taifa Leo News

Kapteni Litali alifariki akisubiri kupandishwa cheo kuwa meja

Na JOSEPH OPENDA FAMILIA ya Kapteni Hillary Shirekule Litali, aliyeangamia katika ajali ya ndege Alhamisi, imemtaja kama mchangamfu, mwenye nidhamu na kujituma, mcha Mungu na aliyeiweka familia yake mbele. Kapteni...

3 hours ago


Africa incomes falling behind rest of world

Devastating droughts last year in the Horn of Africa and currently in Southern Africa, as well as cyclones and floods, have also increased the region's struggles.

3 hours ago


Mtanzania General

ACB yazindua kadi ya Visa kukidhi matarajio ya wateja

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Benki ya Akiba (ACB) imezindua huduma ya kadi za VISA ambazo ni mahususi kwa kufanya miamala ya kifedha na ina uwezo wa kutumika sehemu yoyote...

4 hours ago


Taifa Leo News

Amerika yawafurusha raia 50 wa Haiti waliotoroka vita nchini kwao

NA MASHIRIKA WASHINGTON DC, AMERIKA AMERIKA imewafurusha raia 50 wa Haiti ambao walihamia Washington kutokana na mapigano makali yanayoendelea Port-au-Prince. Msemaji wa Wizara ya Usalama wa mambo ya ndani Amerika,...

4 hours ago


Mtanzania Educational

Lushoto yaendesha mafunzo ya Chanjo ya Saratani ya Shingo ya Kizazi

Na Mwandishi Wetu ZIKIWA zimebaki siku chache kabla ya kuanza kwa kampeni ya Chanjo ya Saratani ya Shingo ya Kizazi, Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto kupitia Idara ya Afya na...

4 hours ago


Milard Ayo General

Jenerali Francis Ogolla kuzikwa Aprili 21,aacha wosia azikwe ndani ya saa 72

Marehemu Mkuu wa Majeshi (CDF) Francis Ogolla, 62, anatazamiwa kuzikwa nyumbani kwake Ng’iya huko Alego Usonga mnamo Aprili 21 hii ni kwa mujibu wa familia yake. Viongozi pia walifichua kwamba...

5 hours ago


Milard Ayo News

Maendeleo ya vijana ni kipaumbele cha rais Samia: Mhe.Katambi

Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Patrobas Katambi amesema Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan...

5 hours ago


Load More...

Trending on YouTube

Thumbnail
Marioo - Hakuna Matata (Visualiser)
Thumbnail
Harmonize - Na Nusu (Official Lyrics Video)
Thumbnail
Rayvanny - Hongera (Music Audio)
Thumbnail
Dulla Makabila - Furahi ( OFICIAL VIDEO)
Thumbnail
Bella Kombo ft. Evelyn Wanjiru & Neema Gospel Choir - Mungu Ni Mmoja (Official Video)
Thumbnail
Darassa feat Zuchu - Romeo (Visualiser)
Thumbnail
D Voice - Zoba (Official Lyric Audio)
Thumbnail
TitoM & Yuppe - Tshwala Bam [Ft. S.N.E & EeQue] (Official Music Video)
Thumbnail
Diamond Platnumz - Namleta (Official Audio)
Thumbnail
Chino Kidd Ft Daway - Binadamu (Official Lyrics Video)

Job Vacancies





Entertainment