Mwanaspoti Sports

Arajiga wa 5-1 apewa tena Kariakoo Dabi

BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), imemtangaza Ahmed Arajiga kutoka mkoani Manyara kuwa mwamuzi wa kati wa mchezo wa Simba na Yanga utakaopigwa, Jumamosi hii .

3 hours ago


Mtanzania News

Asasi ya Agenda yabainisha madhara ya kemikali zilizopo kwenye Plastiki

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizojiunga katika kupunguza matumizi ya plastiki kama njia mojawapo ya kutunza na kuhifadhi mazingira. Katika kutekeleza suala hilo Juni mosi...

3 hours ago


Daily News Business

Tanzania, Türkiye commit to boost trade, investments

ANKARA, TÜRKIYE: Tanzania has reiterated its commitment to enhancing a mutually beneficial relationship with Türkiye. President Samia stated at a joint press conference with her Turkish counterpart, Recep Tayyip Erdoğan,...

3 hours ago


Taifa Leo News

Jenerali Ogolla, wanajeshi wengine 9 wafa katika ajali ya helikopta

BENSON MATHEKA na OSCAR KAKAI KENYA inaomboleza kifo cha Mkuu wa Majeshi (KDF), Jenerali Francis Omondi Ogolla ambaye aliaga dunia Alhamisi Aprili 18, 2024 katika ajali ya helikopta eneo la...

4 hours ago


Chief of Defence Forces Francis Ogolla is dead

President William Ruto announces the death of Chief of Defence Forces Francis Ogolla.

5 hours ago


Mwanaspoti Sports

Machupa atoa neno Kariakoo Dabi

Mshambuliaji wa zamani wa Simba, Athuman Machupa, ameizungumzia Kariakoo Dabi ya Aprili 20, anaiona itaamuliwa na ukomavu na mbinu za mastaa na makocha wa klabu hizo kongwe.

5 hours ago


Mwanaspoti Sports

Pembe: Simba wasipofunga mlango, zile 5 zinarudi

MSANII wa vichekesho nchini, Yusuph Kaimu 'Pembe' amesema pamoja na matumaini waliyonayo mashabiki wa Yanga kushinda, lakini mastaa wanapaswa kuiheshimu Simba kwani mechi ya watani siyo kujihakikishia pointi tatu, japo...

5 hours ago


Mwanaspoti Sports

Mapacha Singida Black Stars, Singida FG sare kila kitu

LIGI Kuu Bara imeendelea tena leo kwa mchezo mmoja kupigwa ambapo wenyeji Ihefu (Singida Black Stars) wameshindwa katamba kwenye Uwanja wa Liti mjini Singida baada ya kulazimishwa sare ya kufungana...

6 hours ago


Mwanaspoti Sports

Pingamizi Mwakinyo latupiliwa mbali

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jana Alhamisi imefanya uamuzi mdogo wa kutupilia mbali pingamizi lililoweka na bondia wa ngumi za kulipwa nchini, Hassan Mwakinyo katika kesi ya madai inayomkabili dhidi...

6 hours ago


Mwanaspoti Sports

angwani kumekucha, Wazee, Mashabiki Yanga wakoleza mzuka 'Kariakoo Derby'

KATIKA Makao Makuu ya Klabu ya Yanga SC, unaweza kusema hakuna kulala kwani mashabiki na wanachama wa klabu hiyo wameendelea kufanya amsha-amsha kama hamasa ya kuelekea Kariakoo Dabi itakayochezwa Aprili...

6 hours ago


Load More...

Trending on YouTube

Thumbnail
Marioo - Hakuna Matata (Visualiser)
Thumbnail
Dulla Makabila - Furahi ( OFICIAL VIDEO)
Thumbnail
Rayvanny - Hongera (Music Audio)
Thumbnail
Bella Kombo ft. Evelyn Wanjiru & Neema Gospel Choir - Mungu Ni Mmoja (Official Video)
Thumbnail
Diamond Platnumz - Namleta (Official Audio)
Thumbnail
D Voice - Zoba (Official Lyric Audio)
Thumbnail
TitoM & Yuppe - Tshwala Bam [Ft. S.N.E & EeQue] (Official Music Video)
Thumbnail
Darassa feat Zuchu - Romeo (Visualiser)
Thumbnail
Chino Kidd Ft Daway - Binadamu (Official Lyrics Video)
Thumbnail
Bahati Bukuku - Sitaki Tulaumiane (Official Music Video)

Job Vacancies





Entertainment