Taoussi aanza kugawa dozi, Azam ikiizamisha KMC
BAADA ya kucheza mechi tatu mfululizo bila kufunga bao lolote, jioni ya leo Alhamisi, Azam FC ikiwa chini ya kocha Rachid Taoussi imepata ushindi mnono kwa kuishindilia KMC mabao 4-0 katika mfululizo w mechi za Ligi Kuu Bara.