Mwambusi ana deni Coastal Union
KOCHA Mkuu wa Coastal Union, Juma Mwambusi amesema kazi imebaki kwake na wachezaji kuhakikisha kupambana ili kufikia malengo ya kucheza tena Ligi Kuu Bara msimu ujao baada ya uongozi kufanyia kazi usajili dirisha dogo.