Chilunda aja na akili mpya ya kazi

Mwanaspoti
Published: Jan 25, 2025 11:47:30 EAT   |  Sports

MSHAMBULIAJI wa zamani wa Simba, Shaaban Chilunda amesema baada ya kufanikiwa kusajiliwa na KMC kwa sasa ana akili mpya ya kufanya kazi ili kurudi katika ushindani baada ya kukaa nje ya uwanja kwa muda mrefu huku akisisitiza kwamba yupo tayari kwa ajili mapambano.