ZARAA: Siri yake ni bidii shambani na kusaka wateja mitandaoni

Taifa Leo
Published: Oct 26, 2022 07:07:36 EAT   |  Educational

NA SAMMY WAWERU HELLEN Wanjiku ni mkulima hodari mwenye maono ya kujikuza zaidi kwa kuzamia shughuli hizo za shambani. Baada ya kufuzu 2020 kwa kupata Digrii ya Ualimu kutoka Chuo Kikuu cha Chuka, aliamua kuendeleza kilimo-biashara alichoiingilia akiwa shuleni. Nyanya yake alikuwa mkulima hodari katika kilimo cha ndumaa, ambacho pia mama yake mzazi alikikumbatia.Wanjiku maarufu […]