ZARAA: Mradi wa chuo kuwafaa wakulima wa Migori

Taifa Leo
Published: Oct 26, 2022 07:16:44 EAT   |  Educational

NA LABAAN SHABAAN SHADRACK Otieno Obura ni mkulima wa mtama ambaye amenufaika na miradi ya majaribio ya kilimo unaoendelezwa na idara ya kilimo ya Chuo Kikuu cha Rongo. Obura, aliyeanza kilimo mwaka wa 1997, anaendeleza kilimo cha mimea mbalimbali kama vile ndizi, mahindi, miti, miche, mihogo, mtama na ufugaji ng’ombe katika shamba lake kijijini Ng’iya, […]