ZARAA: Mfumo ulioboreshwa kuendeleza kilimo mijini

Taifa Leo
Published: Nov 28, 2022 09:42:40 EAT   |  News

NA SAMMY WAWERU MOJAWAPO ya ajenda kuu za serikali ni kukabiliana na kero ya uhaba na usalama wa chakula nchini.  Hata ingawa kuidhinishwa kwa uagizaji bidhaa za GMO kumezua mjadala moto, Waziri wa Biashara Moses Kuria mwishoni mwa wiki iliyopita alitangaza kuanza kununuliwa nje mahindi yaliyoboreshwa kupitia mfumo huo tata. Akitetea uamuzi huo, Waziri Kuria […]