Wito wazazi wakome kutumia kauli ya Magoha kuhepa kulipa karo

Taifa Leo
Published: May 07, 2022 13:20:50 EAT   |  Educational

NA KNA MWENYEKITI wa Chama cha Wakuu wa Shule za Sekondari nchini, (KESSHA), Kahi Indimuli, ametoa wito kwa wazazi ambao watoto wao wanajiunga na Kidato cha Kwanza walipe karo na wakome kutumia kauli ya Waziri wa Elimu, George Magoha kuwa walimu hawafai kuwatuma wanafunzi nyumbani kwa sababu ya karo kujitetea na kuhepa kuwajibika. Bw Indimuli […]