Wasimulia jinsi walikaa shimoni siku 7 bila chakula

Taifa Leo
Published: Dec 09, 2021 08:20:24 EAT   |  General

Na ANGELINE OCHIENG WANAUME watatu waliookolewa na wanakijiji baada ya mgodi wa dhahabu kuporomoka na kuwafunika humo, wameelezea masaibu waliyopitia kuishi shimoni bila chakula kwa siku saba katika eneo la Abimbo, Bondo, Kaunti ya Siaya. Philip Joel Ogutu, 21, Victor Otieno, 20, na Jacob Onyango, 23, walitaja kuokolewa kwao kama miujiza.Watatu hao walikuwa miongoni mwa […]