Washukiwa 5 waiba vyombo vya kanisani na kuvificha baa

Taifa Leo
Published: Nov 03, 2022 05:04:36 EAT   |  Entertainment

NA ALEX NJERU WASHUKIWA watano wamekamatwa kufuatia wizi wa vifaa vya kanisa ambavyo vilipatikana vimefichwa katika baa. Wezi hao walivunja kanisa la Mutube Baptist mjini Chuka kaunti ya Tharaka Nithi usiku wa kuamkia jana na kuiba vyombo vya muziki, mafuta takatifu na kola ya pasta. Baada ya kuiba vyombo hivyo vya thamani ya Sh400,000, washukiwa […]