Taifa Leo   
Washtakiwa kwa wizi wa samaki

Published: May 31, 2023 06:55:40 EAT   |  General

Na RICHARD MUNGUTI VIBARUA watatu wameshtakiwa kwa wizi wa samaki wa thamani ya Sh30, 000. Jesse Mwangi, Paul Kimathi na Samuel Okello walishtakiwa mbele ya hakimu mwandamizi Bi Agnes Mwangi. Walikanusha kuiba samaki hao mnamo Mei 17, 2023. Samaki hao walikuwa wa mfanyabiashara John Waithaka. Mahakama ilielezwa kwamba watatu waliiba samaki hao walipoachwa katika steji […]

View Original Post on Taifa Leo