WANTO WARUI: Serikali itumie kawi ya jua kufanikisha elimu dijitali katika maeneo kame

Taifa Leo
Published: Oct 31, 2022 07:18:16 EAT   |  Educational

Na WANTO WARUI KATIKA karne hii ya 21, elimu imeingia katika daraja lingine ambapo ni wanafunzi wanaosomea katika sehemu za miji wanafurahia mazingira mazuri ya elimu huku maelfu wakihangaika gizani na kusomea katika mazingira ya karne ya 20. Jambo hili linaleta mgawanyiko na ukosefu wa usawa katika elimu nchini. Licha ya juhudi za serikali kusambaza […]