WANTO WARUI: Serikali iendelee kutatua changamoto zinazokabili sekondari msingi nchini

Taifa Leo
Published: Feb 13, 2023 11:06:33 EAT   |  Educational

NA WANTO WARUI MAJUMA matatu sasa tangu shule za sekondari msingi kuanza mafunzo yake,bado shule nyingi hazijaweka mikakati bora ya kuendeleza ufunzaji wake. Shule nyingi za umma zingali katika ndoto ya kupata walimu wa kufunza masomo yanayohitajika huku Tume ya Huduma za Walimu (TSC) ikituma mwalimu mmoja tu au wawili katika kila shule. Hii ni […]