Wanavyogeuza taka kuwafaidi kimaisha

Taifa Leo
Published: Nov 09, 2022 05:48:04 EAT   |  Business

NA LABAAN SHABAAN AGHALABU taka na harufu mbaya ni taswira ya kawaida katika maeneo ya masoko mijini na hali si tofauti katika Soko la Korogocho jijini Nairobi. Kundi la vijana na wanabiashara wa Korogocho wanadhibiti takataka sokoni kutengeneza makaa, mafuta, sabuni, kuni, chakula cha mifugo, mbolea na sharubati. Kulingana na ripoti ya Shirika la Chakula […]