Wanaharakati wa mazingira wapigwa jeki mradi wa Sh20 milioni ukizinduliwa Lamu

Taifa Leo
Published: May 31, 2023 07:05:46 EAT   |  News

NA KALUME KAZUNGU VIJANA wanaharakati wa uhifadhi wa mazingira katika Kaunti ya Lamu wana matumaini kwamba shughuli zao za kuhifadhi mazingira na kupigana na mabadiliko ya tabianchi zitafaulu kufuatia kuzinduliwa kwa mradi wa Sh20 milioni kupiga jeki shughuli hizo. Mradi huo kwa jina ‘Climate Justice for Human Security’ unatekelezwa na Shirika la utetezi wa haki […]