Taifa Leo   
Wanafunzi South B PEFA Academy wachagua viongozi wakihimizwa kukumbatia demokrasia

Published: May 31, 2023 07:58:06 EAT   |  Educational

NA SAMMY KIMATU WANAFUNZI katika shule ya South ‘B’ PEFA Academy iliyoko kaunti ndogo ya Makadara wamejawa na tabasamu baada ya kupata viongozi wapya  waliochaguliwa mnamo Ijumaa wiki jana. Msimamizi wa Idara ya Serikali ya Wanafunzi Bw Brian Otim ameambia Taifa Leo kwamba uchaguzi huo uliendeshwa kuambatana na mtaala uliopo chini ya Wizara ya Elimu […]

View Original Post on Taifa Leo