Wanachuo wakamatwa kwa utapeli

Taifa Leo
Published: Oct 31, 2022 19:18:39 EAT   |  Educational

NA MARY WANGARI MAKACHERO kutoka Idara ya Uchunguzi wa Uhalifu (DCI) mnamo Jumatatu, Oktoba 31, waliwakamata wanafunzi watatu wa Chuo Kikuu cha Egerton kwa kuwatapeli mamilioni ya pesa wazazi na wanafunzi wanaojiandaa kwa Mtihani wa Kitaifa wa Kidato cha Nne (KCSE). Washukiwa hao Francis Manyara Ogata almaarufu Ranchodas na Bravin Ombongi wote wakiwa wanafunzi wa […]