Wamatangi aahidi kugeuza Kiambu kitovu cha maendeleo

Taifa Leo
Published: Oct 20, 2022 20:30:04 EAT   |  Business

NA LAWRENCE ONGARO WACHUUZI wa bidhaa tofauti wa mji wa Thika watapewa nafasi ya kuendesha biashara yao bila kutatizwa. Gavana wa Kiambu Bw Kimani Wamatangi, alifanya mkutano muhimu mnamo Jumanne na wachuuzi  hao mjini Thika kwa lengo la kutatua shida zao. Hivi majuzi ilani ya wiki mbili iliwekwa kwa wachuuzi hao Kwa lengo la kuwataka kuondoka […]