WALIOBOBEA: ‘Sirkal’ alipokataa wadhifa serikalini

Taifa Leo
Published: Oct 30, 2022 11:23:43 EAT   |  Educational

KWA HISANI YA KENYA YEARBOOK NCHINI Kenya, nyadhifa za uwaziri haziwezi kuchukuliwa kama zinazotoshana- au kuwa sawa. Kila moja ina ushawishi wake, na hii pengine inaelezea kwa nini baadhi ya nyadhifa za uwaziri huwa zinang’ang’aniwa. Wizara hizo ni kama fedha, usalama wa ndani, afya, kawi na elimu ambazo kwa kawaida husimamiwa na watu wa karibu […]