Wakazi walalamika unyakuzi bandarini

Taifa Leo
Published: Dec 09, 2021 08:31:04 EAT   |  News

Na KALUME KAZUNGU WAMILIKI wa ardhi zinazopakana na Bandari ya Lamu wameomba uchunguzi uanzishwe kuhusu unyakuzi wa ardhi za kijamii. Wakazi hao wamewasilisha malalamishi kwa Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) pamoja na Idara ya Kuchunguza Uhalifu (DCI), kwamba kuna mabwanyenye wanaonyakua ardhi zao za kijamii.Wamiliki hao chini ya Muungano wa Wakulima wa […]