Wajenzi wapata kaburi la halaiki la zamani shuleni

Taifa Leo
Published: Nov 15, 2022 06:51:27 EAT   |  Educational

KNA NA LUCY MKANYIKA UJENZI wa madarasa ya watoto wenye ulemavu katika Shule ya Msingi ya Voi, Kaunti ya Taita Taveta, umelazimishwa kusitishwa kwa muda baada ya wajenzi kupata kile kinachoaminika kuwa kaburi la halaiki la jadi. Wanahistoria na watafiti mbalimbali sasa wameanza kumiminika eneo hilo baada ya kupatikana mifupa ya binadamu, bangili, pete na […]