Wachungaji Thika wawatolea wito Wakenya waiunge mkono serikali

Taifa Leo
Published: Nov 30, 2022 06:14:03 EAT   |  News

NA LAWRENCE ONGARO WACHUNGAJI kutoka kaunti ndogo ya Thika, wametaka Wakenya kuiombea nchi hii ili serikali mpya iweze kufanikiwa katika kutekeleza ahadi ilizotoa. Wakiongozwa na Askofu wa Kanisa la Calvary Chosen Centre, Thika, David Gakuyo, walisema serikali mpya ya Rais William Ruto, inastahili kupewa muda wake ili iweze kutekeleza ahadi zake kwa wananchi. Alisema “huu […]