Wabunge wa Azimio wataka Chebukati, Guliye, Molu wachunguzwe kuhusu ubadhirifu wa raslimali

Taifa Leo
Published: Nov 23, 2022 20:53:52 EAT   |  News

NA CHARLES WASONGA WABUNGE wa Azimio la Umoja-One Kenya sasa wanapendekeza kubuniwa kwa Kamati Teule ya Bunge ili ichunguze mienendo ya Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Wafula Chebukati na makamishna wenzake wawili kubaini jinsi “wanavyotumia vibaya raslimali za umma na mamlaka ya afisi zao.” Wabunge hao wa upinzani pia wanamtaka Bw […]