Viongozi washinikiza Kuria atimuliwe kwa mpango wake wa GMO

Taifa Leo
Published: Nov 29, 2022 09:03:01 EAT   |  News

NA SHABAN MAKOKHA BAADHI ya viongozi kutoka eneo la Magharibi wanataka wabunge waanzishe hoja ya kutokuwa na imani na Waziri wa Biashara, Moses Kuria. Gavana wa Kakamega, Fernandes Barasa na naibu wake Ayub Savula walisema kuagizwa kwa mahindi ya GMO kutaathiri uzalishaji wa mahindi ya humu nchini. Bw Barasa aliongeza kwamba wanaoathirika pakubwa ni wakulima […]