Vinara wakuu Azimio washutumu Kenya Kwanza kwa kulipiza kisasi

Taifa Leo
Published: Nov 26, 2022 07:33:07 EAT   |  News

NA MACHARIA MWANGI VIONGOZI wa Muungano wa Azimio One Kenya wamelaumu serikali ya Kenya Kwanza kwa kuendeleza kisasi dhidi ya viongozi na maafisa wa serikali ambao wametofautiana na sera zake. Wakizungumza baada ya mkutano mjini Naivasha, viongozi hao Raila Odinga, Kalonzo Musyoka na Martha Karua walisema watapinga hatua zozote za serikali za kuua demokrasia na […]