Vifo vya samaki vyazidi kutatiza wajasiriamali

Taifa Leo
Published: Nov 21, 2022 11:05:38 EAT   |  Business

NA GEORGE ODIWUOR WAFUGAJI samaki kwenye vizimba katika Ziwa Victoria wamepata hasara ya mamilioni ya fedha baada ya samaki wao kufa kwa njia ya kutatanisha. Hisia mseto zimeibuka kuhusu chanzo cha vifo vya samaki hao huku wataalamu wakidai hilo ni tukio la kimaumbile. Katika mitandao ya kijamii, wakulima tofauti wameweka picha za kuonyesha kiwango cha […]