USHAURI NASAHA: Katika elimu na maisha mtu hutiwa makali na wanaotangamana naye

Taifa Leo
Published: Oct 27, 2022 06:48:01 EAT   |  Educational

NA HENRY MOKUA DEREVA anapofika mahali pasipo na magari usiku taa za gari lake huelekea kuwaka kupindukia. Hata hivyo, anapoanza kupishana na magari mengine mwako wa taa zake huonekana kufifia na za wenziwe kung’aa zaidi. Aghalabu hulazimika kujitahidi zaidi kulidhibiti gari lake. Huenda hata ikambidi apunguze mwendo hadi ajizoeze na hali yake mpya. Hali hii […]