Uhaba wa fedha kukwamisha utoaji pasipoti, Seneti yaelezwa

Taifa Leo
Published: Nov 28, 2022 05:15:55 EAT   |  General

NA COLLINS OMULO WAKENYA wanaosaka pasipoti watalazimika kusubiri kwa muda mrefu kupata stakabadhi hiyo muhimu kufuatia uhaba wa vijitabu vya pasipoti katika Idara ya Uhamiaji. Mkurugenzi Mkuu wa Idara hiyo, Bw Alexander Muteshi, alisema wanahitaji Sh150 milioni za kununua vijitabu hivyo ili kuchapisha pasipoti. Bw Muteshi aliambia Kamati ya Seneti kuhusu Usalama na Ulinzi kwamba […]