TUSIJE TUKASAHAU: Walioathiriwa na wanyamapori eneo la Masimba waitaka serikali iwalipe fidia

Taifa Leo
Published: Nov 28, 2022 07:01:22 EAT   |  News

HAZINA ya Kitaifa inapaswa kutenga fedha kila mwaka za kushughulikia wanaothiriwa na mizozo kati ya binadamu na wanyamapori. Hii ni kwa sababu Sheria ya Fidia kwa Wanaoshambuliwa na Wanyamapori ilianza kutekelezwa Novemba 2013 baada ya kutiwa saini na Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta. Ni kwa misingi ya sheria hii ambapo mnamo Julai 14, 2022, aliyekuwa Waziri […]