TUSIJE TUKASAHAU: Sakaja anataka kujenga masoko gani wakati yale yaliyoanzishwa na NMS hayajakamilika?

Taifa Leo
Published: Oct 28, 2022 07:33:45 EAT   |  Business

GAVANA wa Nairobi Johnson Sakaja amekataa Sh500 milioni zilizotengewa afisi yake kufadhili ujenzi wa makazi rasmi ya Gavana na Naibu Gavana. Akiongea juzi katika mtaa wa Kibera, Bw Sakaja ambaye alikuwa ameandamana na Rais William Ruto, alitangaza kuwa badala yake pesa hizo zitatumiwa katika ujenzi wa masoko ambayo yatafaidi wakazi wengi wa Nairobi. “Nimeona bajeti […]