TUSIJE TUKASAHAU: Kwa kuvipuuza vyuo vikuu Kenya Kwanza inakiuka sehemu ya 30 ya Mkataba wa Elimu

Taifa Leo
Published: Nov 08, 2022 06:52:36 EAT   |  Educational

WAZIRI wa Elimu Ezekiel Machogu Ijumaa wiki jana alitangaza kuwa serikali ya kitaifa haitaendelea kufadhili vyuo vikuu vya umma na vile vya kadri. Badala yake alitoa wito kwa vyuo hivyo vya elimu ya juu kuzalisha mapato kivyao kufadhili mipango yao ya kimasomo na kimaendeleo. Akiongea alipozuru Chuo Kikuu cha Teknolojia cha Dedan Kimathi (DeKUT), Nyeri, […]