Taifa Leo   
Timu za Afrika zaendelea kulemewa Qatar

Published: Nov 24, 2022 13:26:36 EAT   |  Sports

Na JOHN ASHIHUNDU MATUMAINI ya timu za Afrika kupiga hatua kwenye fainali za Kombe la Dunia za Qatar 2022 yalizidi kudidimia baada ya kikosi cha Cameroon kuchapwa 1-0 na Uswisi katika mechi iliyochezewa Janoub Stadium leo, Alhamisi. Mbali na Cameroon, mataifa mengine ya Afrika yanatoshiriki kwenye fainali hizo ni Morocco, Senegal, Tunisia na Ghana, lakini […]

View Original Post on Taifa Leo