TALANTA: Kiongozi wa nyimbo

Taifa Leo
Published: Nov 07, 2022 12:57:38 EAT   |  Entertainment

NA PATRICK KILAVUKA UKAKAMAVU, ujasiri na kujiamini vimekuwa vigezo ambavyo vimemfaa zaidi katika jitihada za kuongoza nyimbo katika tamasha za muziki na shuleni hususan siku za sherehe za utamaduni na hafla nyinginezo. Isitoshe, misakato na sauti mithili ya ninga husisimua wengi anapoongoza nyimbo. Ana azma ya kuzamia uimbaji siku za majaliwa akifahamu fika kwamba usanii […]