TAHARIRI: Ni hatari kupuuza shida za polisi

Taifa Leo
Published: Dec 08, 2021 10:05:21 EAT   |  News

KITENGO cha UHARIRI TAIFA kwa mara nyingine jana iliamkia habari kuhusu mauaji katika jamii yaliyosababishwa na afisa wa polisi bila sababu mwafaka kujulikana. Katika kisa hicho, afisa wa polisi aliua watu sita akiwemo mke wake na raia wengine watano kabla kujitoa uhai.Visa hivi ambavyo vimekuwa vikitokea mara kwa mara, ambapo afisa wa polisi hutumia silaha […]