TAHARIRI: IEBC ihakikishe wanasiasa wanaoshiriki harambee wanaadhibiwa

Taifa Leo
Published: Dec 09, 2021 06:54:27 EAT   |  News

KITENGO cha UHARIRI KUANZIA leo, ni marufuku kwa wanasiasa wanaopania kuwania nyadhifa mbalimbali kushiriki katika hafla za kuchangisha fedha, maarufu kama harambee. Sheria ya Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) inapiga marufuku wanasiasa kushiriki katika hafla za kuchangisha fedha miezi minane kabla ya uchaguzi mkuu.Lengo la sheria hiyo ni kuzuia wanasiasa kutumia fedha kuwashawishi […]