Taifa Leo   
TAHARIRI: GMO: Serikali ielimishe wananchi kuondoa dukuduku

Published: Nov 24, 2022 11:59:14 EAT   |  News

NA MHARIRI HATUA ya serikali kuondoa marufuku dhidi ya mahindi ya GMO imezua mjadala mkali nchini. Suala la GMO limetekwa nyara na wanasiasa huku mamilioni ya Wakenya wakijipata njia panda bila kujua ukweli kuhusu mahindi hayo. Viongozi kutoka maeneo yanayokuza mahindi, kwa mfano, wamejitokeza kupinga mpango wa serikaliw kuagiza magunia milioni 10 ya mahindi ya […]

View Original Post on Taifa Leo