Stars walipookoa penalti 2 wakishinda Cecafa
Na JOHN ASHIHUNDU MASHABIKI watakumbuka fainali ya Afrika Mashariki na Kati (Cecafa) ya 1982 ambapo Harambee Stars ilitwaa ubingwa licha ya kuonewa kwa kiasi kikubwa na mwamuzi ugani Nakivubo, jijini Kampala, Uganda. Ilibidi Waziri wa Michezo wakati huo marehemu Stanely Oloitiptip aingie uwanjani kumshawishi kipa Mahmoud Abbas akubali mchezo uendelee, baada ya Uganda kufunga bao […]