Soka: Fahamu jinsi Kinale Girls inavyojiandaa kwa ajili ya mashindano ya mwaka 2023

Taifa Leo
Published: Nov 24, 2022 07:51:26 EAT   |  Sports

NA LAWRENCE ONGARO SHULE ya upili ya wasichana ya Kinale Girls, kaunti ya Kiambu, inajipanga kivingine ili kurejea na mbinu geni katika soka mwaka 2023. Kocha wa shule hiyo Ben Nyongesa, amewasajili vipusa wanane wapya watakaoleta uhai kikosini. “Huku wanafunzi wachache wa Kidato cha Nne wakikamilisha muhula wao wa masomo, ni vyema kujipanga mapema,” alisema […]