Shiney apiga abautani akiweka zingatio kwa muziki wa Injili

Taifa Leo
Published: May 09, 2022 13:03:46 EAT   |  Entertainment

NA JOHN KIMWERE NI ndoto ya kila msanii kuona anaimarika katika kazi zake na kutambulika kote duniani. Anne Samba maarufu Shiney kamwe hajabaki nyuma licha ya pandashuka ambazo amepitia. Amepania kuibuka kati ya wasanii wenye sauti duniani. Bila shaka sura na sauti yake sio geni kwa wapenzi wa muziki wa densi hasa katika Kaunti ya […]