SHINA LA UHAI: Je, wajua muziki ni dawa ya maradhi mbalimbali?

Taifa Leo
Published: Nov 29, 2022 10:14:25 EAT   |  Entertainment

NA JURGEN NAMBEKA KWA watu wengi, muziki hutumika tu kwa ajili ya kujiburudisha. Lakini je, wajua kwamba muziki pia ni dawa na waweza tumika kama tiba? Kulingana na wataalamu, katika baadhi ya maradhi, muziki waweza kusaidia mgonjwa kupata nafuu ya haraka, na hivyo kuongeza kasi ya kupona. Ndiposa sasa kuna nyanja ya tibamuziki inayotia fora […]