Ruto akaidi NCIC, atoa wimbo wa ‘Sipangwingwi’

Taifa Leo
Published: Apr 09, 2022 19:05:49 EAT   |  Entertainment

NA WINNIE ONYANDO NAIBU wa Rais, William Ruto amekaidi amri ya Tume ya Uwiano na Utangamano wa Kitaifa (NCIC) baada ya kutoa wimbo ambao ameupa jina ‘Hatupangwingwi’, muda wa saa chache baada ya tume hiyo kulipiga marufuku neno hilo. Siku ya Ijumaa saa tano mchana, Tume ya NCIC iliorodhesha neno hilo kuwa miongoni mwa maneno […]