Raychelle Omamo na Faith Odhiambo: Wanawake pekee kuwaongoza mawakili nchini
NA WANDERI KAMAU USHINDI wa Bi Faith Mony Odhiambo kama kiongozi mpya wa Chama cha Mawakili Kenya (LSK), umetajwa kuwa wa kipekee, kwani ndiye mwanamke wa pili kukiongoza chama hicho baada ya Bi Raychelle Omamo. Bi Omamo ndiye alikuwa mwanamke wa kwanza kukiongoza chama hicho kati ya 2001 na 2003. Bi Odhiambo alitangazwa mshindi kufuatia […]